technology

business

DIAMOND AKUTANA NA SPORAH NJAU CLOUDS TV

Napenda kumshukuru mweyezi mungu kwa siku ya jana na hadi leo
 na siku zingine zote kwa upendo wake na baraka tele
zake kwangu.......Natumahi ya kuwa na wewe  mzima wa afya......
napenda kuchukua nafasi muda huu 
Kukuonesha yaliyojiri kwenye siku yangu ya jana.....
Napenda kumshukuru mungu kwa kila jambo jema na zuri kwangu
Jana wakati nawasili Clouds kwa ajili ya Interview nilifurahi sana na 
kufarijika pale nilipokutana
na Dada yangu...... au unaweza kusema mjasiriamali mwenzangu 
Sporah Njau 
akiwa nae amewasili akiwa na Interview mjengoni...

ZIFUATAZO NI PICHA KADHAA NIKIWASILI CLOUDS:



On set nikijiweka sawa kabisa kabla ya kuingia...si 
unajua tena usafi nini nin na nini......
Kawaida tu.....




Nikisalimiana......nae kwa Furaha.....!!











Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health