TANGAZO KUTOKA KWA DIAMOND JUU YA WATU WANAOTUMIA SOCIAL NETWORK KUFANYA UTAPELI KUPITIA JINA LAKE
Tagged with:
Posted by Paul Chazzy 9:01 AM 5
Tagged with:
diamond,najua hii sio sehemu sahihi ya kukuambia jambo hili,ila kifupi jambo ulilomfanyia wema sio jambo jema,kumbuka alikuwa sehemu ya maisha yako,na hata kama bado anakupenda sio lazima umuadhibu kama ulivyofanya,nilikutana na wewe nairobi,tulipiga picha pale airport na nilikuona mtu mwema sana,wewe ni kama mdogo wangu,sijapenda kabisa jambo ulilomfanyia mwenzako,kumbuka maandalio ya moyo ni ya mwanadamu lakini jibu la maisha yako linatoka kwa mungu,uko na penny,yawezekana unapanga kabisa kumuoa,lakini kumbuka pia mungu anamipango yake,watanzania wamekupenda sana,ila kwa unayoyafanya,hasa katika suala zima la movements za wanawake,kumdhalilisha mwanamke sio kitu chema,machozi ya wema yana majibu toka kwa mungu.usiangalie media,jua maisha kila mtu atasimama kwa zamu yake,mtafute wema na muombe msanmaha,sikuogopeshi ila huko mbele unakoelekea sio kuzuri kwako.pia kumbuka kazi yako ya sanaa inategemea watu ambao ndio mashabiki wako,fanya research utajua wengi ni wanawake...wanaume wengi hawakupendi kwa sababu unapendwa na wanawake,hivyo jirekebishe.sio lazima post hii uiweke hadharani,isome fanyia kazi.
ReplyDelete
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY
Kumamae zake huyo diamond fake anazogoa mi nusu nitoe hela
ReplyDeleteduh! Ebwana ni hatari, 2mekupata sana broda, one love bro.
ReplyDeleteJau kweli ani
ReplyDeletekutaka kuchafuana tuu
diamond,najua hii sio sehemu sahihi ya kukuambia jambo hili,ila kifupi jambo ulilomfanyia wema sio jambo jema,kumbuka alikuwa sehemu ya maisha yako,na hata kama bado anakupenda sio lazima umuadhibu kama ulivyofanya,nilikutana na wewe nairobi,tulipiga picha pale airport na nilikuona mtu mwema sana,wewe ni kama mdogo wangu,sijapenda kabisa jambo ulilomfanyia mwenzako,kumbuka maandalio ya moyo ni ya mwanadamu lakini jibu la maisha yako linatoka kwa mungu,uko na penny,yawezekana unapanga kabisa kumuoa,lakini kumbuka pia mungu anamipango yake,watanzania wamekupenda sana,ila kwa unayoyafanya,hasa katika suala zima la movements za wanawake,kumdhalilisha mwanamke sio kitu chema,machozi ya wema yana majibu toka kwa mungu.usiangalie media,jua maisha kila mtu atasimama kwa zamu yake,mtafute wema na muombe msanmaha,sikuogopeshi ila huko mbele unakoelekea sio kuzuri kwako.pia kumbuka kazi yako ya sanaa inategemea watu ambao ndio mashabiki wako,fanya research utajua wengi ni wanawake...wanaume wengi hawakupendi kwa sababu unapendwa na wanawake,hivyo jirekebishe.sio lazima post hii uiweke hadharani,isome fanyia kazi.
ReplyDeleteEvEn mE izO accOunT zNaniaCHAga diLeMa...teL tHeM bROw!
ReplyDelete