technology

business

YALIYONIKUTA NIKIWA NJIANI SAFARINI TOKA KAHAMA KUELEKEA MKOANI GEITA

 Nikiwa katikati ya safari Njiani kuelekea Mkoani Geita Tulipaki Gari njiani kwa ajili ya
Kununua Soft Drinks, Ghafla baada ya wananchi kugundua kuwa kwenye gari
ailikuwepo Diamond na team yake ya Wasafi,Gari lilizingirwa na watu mpaka kufikia haliya Kutoweza kuondoka, kila mtu alitamani kunisalimu na kunipa mkono wake wa kheri...ilibidi kwa heshima na taadhima nisimame na kuwasabahi, ndipo kisha nikaendelea na safari..hakika nina kilasababu ya kumshukuru mwenyez mungu



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health