|
Ilinibidi kuwasalimu na kuwapa mkono mmoja mmoja ili kuwasihi kuachia mlango huo wa kuingilia hotelini hapo...... hekima na busara utumika sehemu hii....!!! |
Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana Kipenzi chao Nimewasili....Amani na Upendo ndio Lugha ya WATANZANIA..!! |
Nashukuru Mungu walitii tamko langu na kuachia uwazi wa geti ilo baada ya kuwasalim...Ukarimu na heshima ilitawala muda huu pia...!! |
This is a blessing, jamani we love u diamond nd team platnumz. .
ReplyDeletehongera kaka unatisha wanaokuwazia mabaya sio washindwe washashindwa, kazi unayoifanya jukwaani ndiyo ambayo inakutofautisha na wengine ambao huja mmoja na kuimba kama wapo chumbani
ReplyDelete