technology

business

P-SQUARE KUWEKEZA KWENYE MAFUTA


Peter Okoye (of P-Square) ameweka picha kwenye mtandao wa instagram
with some caption zinazosema “Hustle must continue…. Oil business tinz…..
 No time.”

Pia aliweka picha nyingine ikiwa na hizi quotes “When u start from the bottom..
Who knows? God bless ma hustle.”

Watu wengi wameshindwa kuelewa walichukulie vip hili jambo..? Majamaa hawa
 wawili ni kwamba wanataka kuingia kwenye industry ya oil au ni vip?

Pitia mtandao wako wa this is diamond tutakujuza zaidi



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health