technology

business

NIKKI WA PILI AFUNGUKA JUU YA MAFANIKIO YA NGOMA YAKE 'KUBUMKUBAM'

The best Rapper kutoka kampuni ya weusi A’town Tanzania
 Nikki wa pili amefunguka kuelezea mistari aliyoandika kwenye
single yake mpya nje ya kumi na nane (18) pamoja na mafanikio
aliyoyapata baada ya kuuza DVD ya kubumkubam.

Kupitia One2One Interview iliyokuwa hosted na Dulla Ambua
kwenye kipindi cha Planet Bongo Eat Africa Tv jana usiku
Nikki wa Pili alisema kwamba wakati alipo compose wimbo ya
 
nje ya Boksi lengo lake ilikuwa ni kuandika mapenzi katika
 uhalisia sio nadharia.
Mkali huyo alisema kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja mafanikio
 aliyopata kwenye mauzo ya DVD ya Kubumkubam
kupitia mtandao akishirikiana na kampuni ya
 fichuka ni nakala 745.
Akiwa kama msanii na msemaji wa kampuni ya weusi Rapper
 huyo alisema kuwa wiki ijayo itatoka video ya Joh Makini
inayoitwa kiutu uzima na weekend hii G Nako ata Shoot video ya
Mama Yeyoo huku Lord Eyes nae akisubiri kupokea kichupa
cha single yake ya Baba la baba feat Ben Pol ambayo
 ameshoot na wa Denmark.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health