technology

business

MUZIKI GANI...OFFICIAL RELEASE 14.3.2013

Ule wakati mabibi na mabwana mliokuwa mnaousubiria kwa hamu ndo umewadia
kumtoa mwali wetu ndani.....Kile kilichokuwa kinapikwa na watoto wa uswazi,
Mtoto wa Manzese na Mtoto wa Tandale  kimekamilika.......
The Song Goes By Muziki Gani.....Nyimbo Niliyoshirikishwa
na Ney wa Mitego The True Boy...chini ya Prpducer Machachali
Mr.Touch.....Tune In Your Favourite Radio Station Clouds
Fm 88.5 From Now Tutakuwa Hewani Tukidondosha Mzigo
Mpya na My Boy Ney On The One n Two atakuwa B12,
Papa Jonii Na Dj Fetty Kukuakikisha Mipango Inaenda sawa...


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

3 comments :

  1. hivi nyie ma mc mnachoimba kitugani mala bange mala matusi saa ndo muzik gani

    ReplyDelete
  2. guyz mashairi yako poa sana ila beet haija shiba vizuri nashauri pigeni remix kwa chali au maneck am sure wataitendea haki ila iko poa sana fanyeni hivyo

    ReplyDelete
  3. This song is a talk of the town boys. .... bigup

    ReplyDelete


three columns

grids

health