technology

business

DIAMOND ADHIHIRISHA UKALI WAKE MBELE YA MAELFU YA MASHABIKI MKOANI GEITA

Napenda kumshukuru Mungu kwa Siku ya Jana tarehe 29 mwez wa 3..........
 kuanzia nilipowasili
Mkoani Geita,kwa mapokezi mpaka Usiku nilipoenda kuwajibika
na kukonga nyoyo za mashabiki zangu Mkoani Geita.....
Nashukuru Uongozi Mzima waliosimamia Ulinzi Kuimarika
na kuimarisha  Ulinzi kwa maelfu ya mashabiki waliofurika
ukumbuni Humo....!!
Nawashukuru Mashabiki zangu wote waliojitokeza jana kwenye
show na hata wale ambao walitamani kuwepo lakini kwa sababu
zilizo nje ya uwezo wao awakuweza kufika....!!
Nikiwa na Crew yangu Nzima niliweza kutimiza yale waliyotegemea
wanachi wa Geita...ule udambudambu wa kimanyema wote
niliudondosha Hapa kati....

Zifuazo ni Picha Matukio yote yaliyojiri kwenye Easter Friday
ndani ya Geita.....!!


WASAFIIIIII....
Safari ilianzia hotelini kuelekea Ukumbini.....

Hali ilikuwa hivi kabla ya Mimi kupanda Jukwani.....!!

Pole Pole...Nilianza kukinukisha na Askari wangu....
kwenye Stage....!!
Mapedeshe wa Geita nao awakuwa Nyuma......!!


Ntakuwa mchoyo sana wa fadhira endapo sintowashkuru Twins 
Fashion kwa hizi Outfit kali wanazonitengenezea... kweli Tanzania 
tuna Vipaji.. eb tazama mwenyewe hizi nguo, kwakweli 
wanastahili pongezi...

Mafia Mnyama...On the one N two...!!






one of my favourite picture kwenye show hii...















Eti Nani Amenuna.....? Nani Amenuna??

this wan called "Afe kipa afe beki lakini ushindi Lazima!!!"
Wotee....woteee..... Nimpende Nani...? Nimpemndee?
Geita...Nauliza....??

Aaaah kulewa...Kulewa....!!


dah! hakika palikua hata pakueka mguu hakuna... yani 
kadri muda ulivyozidi ndio ukumbi ulizidi kuwa mdogo
 jinsi watu walivyojaa


Put your F**k***n  Hands on the AIR......!!
duh! si ilikuwa kidogo tu zichapwe baada ya raia kuona wanakosa
 huondo pindi wakitaka kupanda stage na
 Security wanawazuia...

Aaaghaa....

Kwa Michezo wa Kuringa Ringa ndio huwa wanadata.....Badilika usiwe mjinga...??
malizia wewe sasa.....!!
Aghaaaa Kidogo.......!!
Dumy & Emma....!!
Baada ya Show Vijana walidondoka Club pembeni ya hotel
na kujirusha kiaina...!

Dumy Utamu & Mafia Mnyama....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

8 comments :

  1. U guys work so hard, seeing u pple on stage ni fun sana. May God bless u

    ReplyDelete
  2. we rily need 2 see da vids...k....!!!!

    ReplyDelete
  3. sina cha kusema ila mzigo wauweli kinyama

    ReplyDelete
  4. we n mkali wang sio sir umeshika so la africa masharik wang

    ReplyDelete
  5. Nna hamu sana kukutana nawe karibu. Wewe ni nomaaaaa. Watoto wa KG town tunasema FUNGA KALOMO HIYO

    ReplyDelete


three columns

grids

health