| Watoto kwa Wakubwa walifurika bandarini kumpokea prezdah wa Wasafiii.... |
| Nikiwapa Mikono Mashabiki waliofurika kunilaki Bandarini.... |
| Umati wa watu Waliacha kazi zao na kuongoza Msafara wangu kuelekea Mjini.... |
| Thanks God kwa Rehema zako na baraka zako zinazonifanya niwepo hapa... |
| Weka Mkono kwa Hewa wana wa ukerewe Prezdah Nimewasili kutii Kiu zenu..! |
| Msafara wangu ulipita karibia na shule ya Msingi ukerewe na Hali ilikuwa hivi kufanya hadi wanafunzi kutoka madarasani na kuja kushuudia prezdah alivowasili wilayani UKEREWE.. |
| AMANI NA UPENDO NDIO TASWIRA YANGU... HESHIMA KWA WAKUBWA NA WADOGO NDIO NGUZO YANGU....!! |
No comments :