technology

business

HASARA ZA UVUTAJI WA SIGARA

PICHA HIZI MBILI UNAWEZA UKAJIONEA UPANDE WA KUSHOTO NA
KULIA NI MFANO WA MAPAFU YA BINADAMU...
UVUTAJI WA SIGARA TUNASHAURIWA NA MADAKTARI KOTE
DUNIANI NI HATARI KWA AFYA ZETU.....
ANGALIA KWA MAKINI PICHA YA KUSHOTO INAONESHA MAPAFU YA
BINADAMU AMBAE SIO MVUTAJI SIGARA NA PICHA
YA KULIA INAONESHA MAPAFU YA BINADAMU AMBAE
NI MVUTAJI SIGARA.....
HALI HII INATISHA...UVUTAJI WA SIGARA UNASABABISHA
MZUNGUKO WA DAMU KWENYE MAPAFU YA MWANADAMU
KUWA MDOGO NA HATA MZUNGUKO

WA HEWA KWENYE MAPAFU KUTOFANYA
KAZI KWA UFASAHA....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health