technology

business

DIAMOND ALIVOKINUKISHA MUSOMA....!!

Napenda kuchukua nafasi hii....kuwashukuru mashabiki zangu nchini kote
na hata nje ya nchi na shukrani kubwa zimwende Mwennyezi mungu...
muhumba mbingu na nchi kwa kunifikisha hapa nilipo....
Napenda kuwashukuru pia mashabiki wangu wa kanda ya ziwa
,wilayani Musoma kwa mapokezi mazuri kwenye ujio wangu,
Kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya  Musoma Tarehe 16.3.2013..
Zifuatazo ni Picha ya Show yangu usiku huo.....Nilivyokinukisha
na Kundi zima la wasafi......


Dumi utamu.....Rama Mpauka & Emma Platnum

Taratibu Mdogo mdogo Wachafu tukikaiamsha....!!






Mashabiki zangu awakuwa nyuma kupata picha za ukumbusho...

Si ndo Amsha Amsha Popo ikahanza.......



Hapo.........Ladies & Gentleman Sing wote.....





Hisia unichukua kunipeleka mbali.......Mashetani ya kimanyema
si ndo yakaanza  kupanda....







Ni kukiamsha tu na mawazo mpaka kesho....tukimaliza
ni kulewa tuu....!!




Tuendele ama tusiendele.....!!?? 








Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

2 comments :

  1. Ivi we mtu huwez fanya show bila kuvua nguo manake Kila ukiwa kwa stage lazima uvue nguo ni style hiyo unahis mashabik wanazimika? Kwanza inaboa mno pili nimejitahidi san kucikiliza ukiperform jitahidi Kuwa serious like beyonce yani mtu hujutii hela yako coz unaona jinsi anavyo perform kwa stage strong and serious CIO kipiga kelele mnazofanya hata Kama huimbi live unafatisha tuh Huna haja ya kipiga makelele yaciyo na macingi jaribu kujua u a stage b4 hujaperform hakikisha Sauti ya mic ipo sawa spika zinatoa Sauti bomba hii ni kazi yako na wala CIO kumwachia manager coz ni sawa kumwachia house girl to do everything to u a husband. Yan mkeo wewe ni music ndo uliokupatia hao kina wema

    ReplyDelete
  2. Diamond unakipaji to be honest wasafii u boys rock Ile mbaya, team nzima iko poa u choose the rght boys to work wit, Haterz gonna hate .....wasikuumize kichwa hata kwetu wapo wazoee sompple wanapenda sana kuongea as if wangepewa nafasi ya kupaform on stage wangeweza? ? Kwani ni lazima u comment upuuzi wako ama, kama unataka performance ya beyonce go watch , we love what he does on stage.

    ReplyDelete


three columns

grids

health