technology

business

KAULI YA MHE.ZITTO KABWE AKITAKA WAZIRI WA ELIMU NA NAIBU KUWAJIBIKA KUTOKANA NA MATOKEO MABAYA YA KIDATO CHA 4..!

Katika kile kinachoendelea kuwa gumzo na janga kubwa Tanzania
 katika sekta ya Elimu, 
kwa wanafunzi kufeli kwa asilimia ya juu sana, hii ndio kauli 
ya Zitto leo kupitia katika ukurasa
 wake wa facebook kuhusu janga hilo .

ZITTO KABWE :
Huyu Kawambwa na Mulugo wanakataa kujiuzulu, eti kujiuzulu ni siasa,
 #Uwajibikaji sio siasa. Lazima wajiuzulu ili kuweka msingi kwamba kila Waziri
 atawajibika kwa matokeo ya eneo lake la kazi.
 Waziri, Naibu wake na Katibu Mkuu wa Wizara, pia kamishna wa Elimu
 lazima waondoke, uchunguzi wa wataalamu ufanyike kisha mjadala wa kitaifa.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

4 comments :

  1. hii italeta maana zaidi mbona nchi za wenzetu ukiyakoroga unayanywa mwenyewe?

    ReplyDelete
  2. selikali iwafadhili wasanii nchini ili kukuza na kuendeleza vipaji vyao.

    ReplyDelete
  3. I have a dream of being academic book writer in future especially after my first degree at UDOM. I ask for the help and advice from more experts who ever do such kind of work. however now, I have already started writting my biology practical manul hand book for o-level students purposely to equip all bilogy takers as well as those who need to go further studies with bilogy. send me via philiporevocatus@yahoo.co.com OR 0788331764

    ReplyDelete
  4. Ndugu, mh, Zitto Kabwe tar 22, feb, 2013 ulichambua vizuri mawazo ya waziri wa elimu kuhusu utendaji kazi wake lakini siku hizi za karibuni taarifa zinazotufikia maeneo mengi tz tunapotez matumainni, nashauri usimame make watz wengi tunakutegemea sana 2015kutetea mailai yetu bila kujali dini, kabila wala utajili au umasikini. tafadhali tekeleza na mungu akutie nguvu usituangushe!!!!!!!

    ReplyDelete


three columns

grids

health