| Nlipofika tu Hotel chakwanza nikaingia gym |
| Baada ya kupanga uzito nikaanza na Kifua kati kujaza |
| Then nikatanua kukikata |
| Shoulder shati zikae vizuri |
| Then Try & By mkono utengenezeke... sio ukivaa ki tishirt inakua kama nguo imetundikwa kwenye henga |
| Mnh! jamani twende mbele na kurudi nyuma gym inataka moyo...vyuma vinaumizaaa lyt wanawake zetu wangejua maumivu tunayoyapata wangetuachaga tu na miili yetu ya kuzaliwa. |
| Mgetoni sasa |
| Kitalii moja... |
Picha haikuishia hapo.....Lunch tym,Rehealsal...etc |

hahhaaa umenichekesha eti wangetuachaga tu na miili yetu yakuzaliwa,nasi twataka mitunotuno pia
ReplyDelete