| Dah! leo ilikua kidogo tu tuachwe na Ndege |
| Hapa tukifanya last chek'in na Wasafi wangu |
| Hapa tukiisubiria igeuke |
| Hapa nikiongea mawili,matatu na mmoja wa kampuni hiyo |
| Dah! cjui itarudi au ndio mazima!?? |
| Hapa nikijaribu kuuliza kweli mzigo unageuka au ndo unaenda kupaa twende zetu melini |
| Babueeeh japo tupo kwenye stress ila unyama nao unahitajika... |
| Hapa gari ikaja ya kutusogeza kwenye pipa |
| Wasafiiii............ |
| Dah! kweli Mungu mkubwa.... |
| Hapa nikipanda kuelekea zanzibar... |
| Hapa nikitua Zanzibar..... |
| Bhaaaaaaaassssssss......! |
| Hapa tukiwa airport zanibar tukisuburi mabegi |
| Emma & Dumi |
| Kunambi & Rama |
| On ma way to Hotel |
| Hotel sasa,.. tukiwa na mmoja wa wenyeji wetu toka ZIFF alotupokea |
| Hapa tukipeana mawili matatu toka Dar na Zanzibar.. |
| Hapa nikicheck'in |
| Kazi na dawa babu eeeh.....LOL! Don't stay far! soon Mzigo Unaendelea.... Magetoni,gym,rehealsal...etc |

E bwana u luk smart na hiyo short wala usiogope me i lyk it ww hata uvae vp Dmnd u luk mwah bana. Tuso bby
ReplyDeleteUme2sua sn kaka!....Ful kupoteza napamba kali toka wasafi classic.
ReplyDelete