NAMNA YA KUACHA TABIA MBAYA USIYOIPENDA
NAMNA YA KUFANYA
Unachotakiwa kufanya kuchukua karatasi na kalamu na kuandika chini tabia unayotaka kuiacha na all possible angles zinazofanya uiendekeze tabia hiyo.
Kama ni kupunguza uzito inabidi uorodheshe vyanzo vya wewe kuwa na uzito kama kupenda kula hovyo hovyo, kupendelea kula vyakula vya mafuta, stress za maisha, uvivu wa kufanya mazoezi na mengineyo mengi.
Halafu unajiandikia mwenyewe mistari ya kuijiambia kuwa umeshaacha tabia hizo, na ni vizuri sana kuandika kwa kutumia jina lako kwa kuwa ukiandika General ikitokea mtu akasikiliza mara kwa mara unachojiambia hata kama hataki kusikiliza automatically na yeye hukumbwa na matokeo, hivyo huwezi kuingilia uhuru wa mtu hata kama ana tabia ambayo wewe huitaki kwake.
Mfano badala ya kusema Kamwe WEWE SIO MPIGA PUNYETO, unatakiwa useme KAMWE WEWE kifec SIO MPIGA PUNYETO
au kama unataka kusema KIPATO CHAKO MWAKA HUU KINAKUA MARA MBILI ZAIDI YA KIPATO CHA MWAKA JANA unatakiwa kusema KIPATO CHAKO WEWEkifec MWAKA HUU KINAKUA MARA MBILI ZAIDI YA MWAKA JANA.
Staili ya maandishi ina masharti mengi sana ikiwa ni pamoja na kuzingatia TENSE na vitu vingi lakini nimeamua kuweka sample ya mbinu ya kuacha kupiga punyeto na unaweza kuzitumia moja kwa moja lakini sharti uweke jina lako badala ya la kwangu kwa kuwa mind yako inakufahamu wewe tu na si mtu mwingine
Baada ya kuandika mistari hio mingi ya kujiambia au kujikommand, unachotakiwa ni kuchukua tape recorder au simu au computer au chombo chochote chenye uwezo wa kurecord sauti na wewe mwenyewe kwa sauti yako kurecord mistari hio ulioiandika kwa kuisoma kwa sauti aya kwa aya.
Ukimaliza kurecord unatakiwa kupata muda wa kusikiliza kila siku angalau mara mbili kwa siku, muda wowote wakati wowote lakini si lazima uweke sauti ya juu sana ambayo itawafanya watu wengine wajue unachosikiliza na si lazima wewe kuacha shughuli zako na kukaa na kusikiliza kwa kuwa subconciousmind yako ina uwezo mkubwa sana wa kusikia sauti za chini sana na kuzi analyse ambazo sikio la kawaida haliwezi kuzisikia.
Unachofanya ni kubonyeza button ya play na kuweka kasauti ka chini ambako hata wewe mwenyewe haukasikii ila kanakua kananong'ona kwa mbali au kama utapata headfone(earfone) ni jambo zuri kisha unaendelea na shughuli zako kama kawaida.
Hata kama unasoma au unafanya kazi au unaangalia TV au uko kwenye makelele mengi mno au unafanya shuguli yoyote ile inayokuweka akili yako busy, haina shida kwa kuwa subconcious mind is smarter inapokua inafanya kazi yake, ndio maana hata kama uko busy au akili yako iko kwenye mambo mengine utaendelea kupumua, utaendelea kutoa jasho la mwili, chakula kitasagika tumboni kama kawaida na mengine ndio maana hakuna haja ya kuhofia kama unasikia ile sauti au hauisikii.
Wakati mwingine mzuri wa kusikiliza clips zako hizo za record ni kablya ya kulala na alfajiri wakati wa kuamka kwani ni kipindi ambacho subconcious mind yako iko active sana kuliko concious mind.
No comments :