KWELI SI KWELI?SINGO MOTHERS NI BEST KWENYE MAHUSIANO
Huu ni mtizamo wangu binafsi Single mother kwanza anajua kujali na kuhandle ..kulingana na aliyoyapitia wanakuwa na IQ kubwa kuhusu maisha ..ukiwa nae hayupo ku ruin maisha yako but anakufanya kuwa better men na kukusapoti katika maendeleo yako na siyo kukurudisha nyuma(mfano since Damond amekua na Zari) Wapo vizuri kifedha na hawana tamaa ndogo ndogo za kuwafanya wachepuke ili wajikimu ..wametulia ..kwa namna moja ama nyingine keshapewa somo na alomzalisha na kumterekeza so hana mda wa kupoteza kwa mambo ya kipuuzi..ana mda wa kufocus na maendeleo ya maisha yake na mwanae ..ukiongezeka wewe anakuwa na mda wa kufocos na nyie wawili tuu, akikupenda kakupenda tofauti na hawa madot com.simu wanapiga hawabip ovyo kama hawa wengine..sngle mothers hatakama utamnunulia kitu kama zawadi ni mpaka upende hawalazimishi
na anajua majambozi kitandani maana anakula ugali mkubwa na samaki tofauti na madot com wanakula chips kuku kiuno kipo kipo wanalala kama mgomba
na chaa ziada hawanaga mda wa kukufatilia fatilia mgongoni(inakera) mana wako bize kutake care mwanae na uhusiano wenu pia...Shikamoo yenu singo mothers
No comments :