technology

business

FACTS:TUKIPENDA MIOYO NDIO HUFANYA KAZI NA SIO AKILI


Matatizo yoote katikaa mahusiano Tatizo ni kwamba tikishapenda mioyo yetu ndio hufanya maamuzi na sio akili,kwani kwa muda huo huwa tunaishi katika ulimwengu wa hisia kali za kimapenzi na sio uhalisia.

Kwenye mapenzi si ajabu kukuta msomi anafanya mambo ya kijinga,kwenye mapenzi si ajabu kukuta mwanamke mwenye elimu yake lakini anamvulia nguo mtu  ambaye hata elimu ya msingi hakumaliza.

Tunapozama penzini mioyo ndio hutawala kufanya maamuzi na sio akili kwani aliyependa anakuwa kama hayupo kwenye ulimwengu huu wa kawaida ndo maana sio ajabu kukuta mbeba zege aliyeisotea ile hela ya zege kuanzia asubuhi lakini akifika kwa kipenzi chake anaikabidhi yote

Na kusahau machungu yote aliyoyapata kipindi anahangaika na zege ki ukweli ni jambo lisilo patana na akili ya kawaida lakini katika ulimwengu wa hisia inawezekana
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health