KIUMBE HATARI
Kama kuna kitu cha kuogopwa kuliko vyote duniani basi ni binadamu.Binadamu yeyote, anaweza kufanya jambo lolote, wakati wowote bila kujali chochote...binadamu ni kiumbe wa kushangaza sana anaweza kucheka nawe machoni lakini rohoni ana lake baya kabisa analokusudia kukufanyia....mara nyingi watu tunaowapenda na kuwasaidia sana nakuwajali kwa kila namna ndio watu ambao huja kutufanyia mambo machafu kabisa. Kwahiyo inapotokea ukakutana na situation kama hii basi uwe makini na kujua kuwa hawa ndo binadamu walivyo. Kuna mengi ya kujilinda nayo ukiwa na watu unaowaamini sana kwakuwa kama wakidhamiria kukufanyia mabaya basi wataanza na vitu vitu vinavyokuhusu kama nguo za ndani, nywele ulizonyoa kucha , pedi zilizotumika nk nk Vema vitu vya jinsi hii ukajitahidi kuvitunza na kuvihifadhi sehemu ambazo hakuna mwingine anayeweza kuvifikia. Wengi wameumizwa kwa njia hii kwahiyo ni vema kuwa makini sana.
No comments :