BILA KUFANYA HAYA,HUWEZI TOKA KIMAISHA
Ni mapenzi tu ndio hayanaga formula but Maisha yana formula, na kuna vitu ambavyo lazima ufanye ili utoke.
baadhi ni;
1. Kumuomba MUNGU/hata kama utafanikiwa na humwamini Mungu..ruka ruka mwisho wa siku utarudi kwa MUNGU.
hujawahi pata shida hadi ukasema "hivi MUNGU mi nimekukosea nini?"
2. Kujituma kwa bidii
3. Kuwa na roho mbaya siyo roho mbaya ya kufanya mabaya but kutokua na ile roho ya umama /ubaba huruma ukiombwa unatoa tu hata kama uwezo hautoshi imrad umfurahishe mtu
4. Kuwa mvumilivu
Haya ni baadhi,.mengine jiongezee mwenyewe
Tagged with: HOT TOPICS NEWS Slider
No comments :