technology

business

HABARI NJEMA:MSANII WA TANZANIA ANYAKUWA TUZO TATU NCHINI MAREKANI.

Msanii mahiri wa Tanzania Omary Clayton amefanikiwa kuibuka kidedea katika tuzo za California Viewer Choice  Award 2015 katika tuzo zilizotolewa leo jijini California.

Omary ambaye anasifika kwa kuvaa uhalisia katika kazi zake nyingi za filamu,ameibuka mshindi katika tuzo za muigizaji bora wa kiume,mtunzi bora wa filamu na filamu bora .

Katika tunzo hizo,Omary alikuwa akichuano vikali na wasanii mbalimbali kama Eric Calderon wa Costa Rica,Dario Merlin wa Hispania na Seppe Cosyns wa Ubeligiji.

Aidha Omary amefanikiwa kushinda tuzo hizo kupitia filamu yake ya Dogo Masai ambayo imetokea kuwa moto wa kuotea mbali miongoni mwa kazi za filamu za kibongo.
Whatsaap:+255766640505
Facebook:Paulchazzy
Instagram:Paulchazzy
Twitter:@paulchazzy


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health