technology

business

Tokea mtaani hadi bungeni – Profesa Jay

Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!!
Alifanikiwa kubadilisha game ya mziki hapa Tanzania, miziki yake mpaka leo haichuji! ina message nzito! amefanikiwa kutunza u star wake kwa muda mrefu bila kujiharibia heshima, yuko socio na watu wote mtaani!
Si kama wasanii wengine akifanikiwa kununua passo tuu mtakoma mtaani, always anafikiri sana kabla ya kuongea kitu! hii inatufundisha vijana ukiwa na ndoto ifuate hakuna kurudi nyuma, hakuna kukata tamaa, mwimbo wake wa mwisho ni kama aliundaa kwa ajili ya kusafisha “njia” nimpongeze sana! sana!
Kwa mafanikio aliyofikia! na uvumilivu mkubwa! kupata maendeleo unayotaka si lelemama! bila kona! kona! huyu katumia akili za kuzaliwa na sauti yake mpaka kufikia hapo alipofikia huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine tuwe na malengo katika kile tunachokifanya tusifanye kwa ajili ya kujipatia mashabiki tuu! ninaamini safari ya uwaziri unamnukia hata kufikia ndoto ya uraisi! tunakutakia mafanikio Bro! a.k.a “kipi sijasikia”
Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!!
Alifanikiwa kubadilisha game ya mziki hapa Tanzania, miziki yake mpaka leo haichuji! ina message nzito! amefanikiwa kutunza u star wake kwa muda mrefu bila kujiharibia heshima, yuko socio na watu wote mtaani!
Si kama wasanii wengine akifanikiwa kununua passo tuu mtakoma mtaani, always anafikiri sana kabla ya kuongea kitu! hii inatufundisha vijana ukiwa na ndoto ifuate hakuna kurudi nyuma, hakuna kukata tamaa, mwimbo wake wa mwisho ni kama aliundaa kwa ajili ya kusafisha “njia” nimpongeze sana! sana!
Kwa mafanikio aliyofikia! na uvumilivu mkubwa! kupata maendeleo unayotaka si lelemama! bila kona! kona! huyu katumia akili za kuzaliwa na sauti yake mpaka kufikia hapo alipofikia huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine tuwe na malengo katika kile tunachokifanya tusifanye kwa ajili ya kujipatia mashabiki tuu! ninaamini safari ya uwaziri unamnukia hata kufikia ndoto ya uraisi! tunakutakia mafanikio Bro! a.k.a “kipi sijasikia
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :

three columns

grids

health