1.Wanamuziki waliokuwa wakipiga muziki kwenye meli ya titanic, waliendelea kupiga muziki kwa saa moja Toka meli ilipoanza kuzama.
2.Gharama za kutengeneza Movie ya Titanic Ni Kubwa kuliko gharama za Kutengeneza Meli halisi ya Titanic iliyokuwa na uwezo wa kubeba watu zaidi ya elfu tatu! Movie ya Titanic ilitengenezwa kwa gharama ya dola Milioni miambili ($ 200Mil) wakati Meli ya Titanic ilikuwa na thamani ya $170 Mil.
3. Baada ya Kuona Meli inazama Maeneo yenye baridi kali, Mpishi Mkuu wa meli hiyo, alikunywa pombe Kupita Kiasi ili aweze Kuhimili baridi Kali! Aliweza Kukaa masaa Mawili kwenye Barafu na Hatimae Kuokolewa.
4.Sekunde 30 zingetosha Kuokoa Meli ya Titanic Kama si Kuchelewa Kutoa Taarifa za Kuwepo kwa Mwamba wa Barafu. Watoa taarifa walichelewa kwa Sekunde 30 tu!
5.Baada ya Kugongana na Mwamba, Ilipita masaa mawili mpaka Meli yote ya Titanic Kuzama.
6.Hakuna Meli Yoyote nyingine Iliyowahi Kuzama kwa kugonga Barafu!
7.Mjapani Aliyepona kwa kuokolewa Kwenye Ajali ya Titanic, aliitwa Mpumbavu nchini kwake eti tu, Kwanini hakufa kishujaa pamoja na wengine?
8. vyumba vya Hadhi ya juu zaidi kwenye Meli ya Titanic vililipiwa Dola 200.
9. Zaidi ya Maharusi 20 walikuwa wakisherekea “HoneyMoon” kwenye meli hiyo iliyozama.
10. Msanii Madonna ni moja kati ya watu waliotakiwa kuigiza uhusika waa “Rose” lakini baadae Kate Winslet aliigiza uhusika huo
No comments :