technology

business

MWAKA UNAISHA HIVYO KAMA HUKUOLEWA JIPANGE TENA 2016


Kwa wale mabinti waliokuwa na matumaini ya kuolewa mwaka 2015 ndio basi tena mwaka umeshaisha na siku chache hizi zilizosalia matumaini ya kumpata mume ni asilimia 0.009, hivyo ni afadhari kupotezea tu na kuweka matumaini mapya kwa mwaka 2015. Na kama binti una miaka zaidi 32 afadhari sasa uzae tu , tafuta gumegume lolote uzae nalo kwani umri nao unasonga mbele. Wadada mmesherekea ndoa za wenzenu mwaka mzima mpaka unaisha ukiwa na matumaini kwamba ndani ya mwaka huu na wewe utawaalika wenzako, matokea yake yamekuwa negative . Jipange sasa 2016.
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health