Job Vacancy: Dereva Daraja La II (Driver II)
Employer: MDAs & LGAs
JOB SUMMARY:
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
• Kuendesha magari ya abiria, magari madogo na malori
• Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,
• Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari,
• Kutunza na kuandika daftari la safari “Log-book” kwa safari zote.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
• Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni daraja la “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali na wenye Cheti cha Majaribio ya ufundi Daraja la II.
REMUNERATION: Salary Scale TGOS A
HOW TO APPLY:
All Application are done through online application, Via Government Recruitment Portal.
Click Here to APPLY NOW - Dereva Daraja La II (Driver II)
No comments :