Home
/
/ Unlabelled
/
PICHA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA DADA ANGU QUEEN DARLIN ILIYOFANYIKA BILLZ USIKU HUU
PICHA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA DADA ANGU QUEEN DARLIN ILIYOFANYIKA BILLZ USIKU HUU
Dakika chache zilizopita ,imefanyika show
kubwa ya Kuzindua kichupa kipya,cha Dada angu mpenzi,Queen Darlin,WANATETEMEKA..show imefanyika
ndani ya ukumbi wa Billz posta. ambapo
mimi pia nilifanya suprise ya kumsapoti
dada angu stejini..kama ulikosa hizi ni baadhi ya picha...!!!
Mimi,Halima kimwana na Shetta tukifanya "UKODAKI "Nje ya ukumbi dakika chache kabla ya show..
Shetta nae alikuwepo,hapa akitaniana na Queen Darlin
Backstage nikisalimiana na dada angu,Queen Darlin
kazi ikaanza
Nikafanya suprise kama hivi
Tagged with:
Kisura nlikuepo kwenye show ya jana, kiukwl Diamond unahitaji ulinzi wa ziada kwa sehemu kma club zenye stage ndogo. Mwarabu pekeake hawezi kufanya vyote,,, kama yule mtu uliemkwepa alivyokurukia. Alhamdulillah hakukudhuru,,, je angekuwa ametumwa kufanya kitu kibaya??? Ur a Star cyo kila mtu anapenda maendeleo yako... ma advice ((naomba KISURA (KIFACE) ufikishe kwa uongozi wa WCB)) ucpande kwenye stage au show kma club au hiyo sehemu haijakuakikishia ulinzi wa kutosha...
ReplyDeleteDiaamoo! kweli unatisha nifuatilia sana show zako kwenye mitandao kweli unafanya yako
ReplyDelete