Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana
aliyeangua kilio akishinikiza anione
na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
watu out there walio upande wangu,watu
wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
Hakuishia kule,hata nilipomaliza show alinifata
kwenye gari tena..mda huu nilikuwa nikifabya mahojiano na Clouds TV
Nikijaribu kumbembeleza
Nikimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka tupige picha tena
Ilinibidi nishuke kabisa kwenye gari ,nikazungumza
nae na tukapiga picha ndipo akatulia
Akielezdea furaha yake na sababu ya kufanya vile
na sisi tunakupenda sanaa diamondi
ReplyDeleteJamaa amewakilisha hisia zetu kwa sisi ambao hatuwez kufka ulipo...but all in all we love u diamond platinum and I am among of pipo who luv u....
ReplyDeletefans face ...big up
ReplyDeleteUngekumpa tshirt moja ya wasaf
ReplyDeleteUmetisha saaaaana broooo!
ReplyDelete