Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa fursa
ya kuiona siku nyingine nikiwa na Afya njema
kabisa,Mapema leo mchana,ilikuwa ni
siku niliyopanga kutimiza ahadi
yangu ya Kuwapeleka shule watoto
yangu ya Kuwapeleka shule watoto
walioshinda shindano la kucheza ngololo..
na kwa vile nilitaka wapate elimu iliyo bora
na kwa vile nilitaka wapate elimu iliyo bora
zaidi,nilikaa na management yangu..na
kutafiti ni shule ipi itakayokidhi mahitaji ya watoto wale,shule yenye
mazingira mazuri
ya kusomea
na yenye standard nzuri.
sote tulikubaliana kuwapeleka shule ya
sote tulikubaliana kuwapeleka shule ya
EAST AFRICA INTERNATION SCHOOL,iliyopo Mikocheni.
napenda kumshukuru mkuu wa shule hii,Bi Mercy
napenda kumshukuru mkuu wa shule hii,Bi Mercy
Githirua kwa kutupokea vizuri mimi na
watoto wale..lakini pia kuwashukuru wanafunzi wote kwa kutupokea vizuri
Nyumbani......
Simpo,mmoja wa waratibu akiwa
ameongozana,na washindi wa ngololo Dancing
Nikisarimiana na mkuu wa shule bi,Mercy Githirua
Nilipata nafasi ya kuzungmza na
wanafunzi na kuwausia mambo
mbalimbali ya kimaisha....
Ofisin kwa mkuu wa shule tukimalizia
taratibu za kuwaandikisha shule watoto
Niliongozana na wazazi wao pia
Wakipitia form za usajiri
Tukisikiliza maelekezo kwa mkuu wa shule
So u send them kids abroad!!... CANADA!?
ReplyDeletei wonder!!!?
ReplyDeletesafi sana #Diamond_Forever
ReplyDeleteJob well done"""""""forever you will be Remembered..........
ReplyDeleteunastahiri pongezi,unastahili sifa Mungu akuzidishie kila rakheri na matunda yako yakaonekane kuwa mazuri ulipotoa kwa ajili ya watoto hawa Mungu akuongezee zaidi,nakutakia maisha marefu yenye fanaka na faraja.
ReplyDelete