Inatia faraja sana,pale unapofanya
kitu na watu kutoa sapoti kwa
kile unafanya.
Ni week moja sasa
tangu niweke kwenye acount yangu ya Youtube
video ya number 1 remix,nikiwa na Davido tayari imetazamwa na watu zaidi ya laki 2.Shukrani ziende
kwa fans wangu Africa mashariki na Africa kwa
sapoti wanayonipa kila siku,inazidi kunitia faraja na moyo
wa kufanya kazi nzuri zaidi.
kwa shabiki hususani aishie nje ya Africa na
bado hajaitazama video ya number 1 remix na video
zangu zingine za shows,events etc,waweza ingia on my youtube channel www.youtube/DiamondPlatnumz
or itazame hapa chini.
NAWAPENDA SANA
Naseeb nakuita hivyo sababu, Wema anakuita hivyo, na Naseeb ndio anaependwa nna Wema si Diamond. Nionapo drama za mapenzi yenu nakumbuka maisha yangu, miaka mitano iliyopita, sikuwa maarufu ila maisha yangu ya mapenzi yalifanana na maisha yenu na wema. ila mwisho kabisa Mungu akasaidia sasa tunaitwa baba na mama Nahya. Tunapendana sana na kati ya tuliyopitia sidhani kama lipo linaweza kututenganisha tena. now we know each other in and out. kila kitu maishani mwetu tunaona ni marudio tu. kuna wakati huwa tunaangaliana na kumuangalia mtoto wetu tunaishia kucheka sana. Nawaombea kila la kheri na Mungu awafikishe mwisho mwema then ibaki ni historia kwa watu na kwenu pia. NAWAOMBEA SANA.
ReplyDelete