Nilipewa maelezo kuwa,hawa watoto wanalelewa
katika misingi ya kujitegemea
,misingi ya kuwaandaa kuja
kuwa watu flani hapo
baadae,pale wanafundishwa stadi mbali mbali
za maisha kulingana
na future ya mtu iko
vipi..hivyo nilitembelea baadhi ya miradi waliyoifanya .
.na nilivutiwa na baadhi ya vitu ambavyo
ilinibidi nimnunulie mama yangu...
Niliipenda hii cheni waliyoitengeneza hawa watoto...nikamnunulia mama
Mama mlezi akininifafanulia jambo kuhusu kazi wanazozifanya watoto
Mungu akubariki sana
ReplyDeleteguwd
ReplyDeleteMungu asikupungukie kataka kazi za mikono yako pale unapotoa mungu akuongezee mara mia kwani ni wachache wenye moyo kama wako
ReplyDelete