Shukrani za dhati ziende kwa kwa mwenyezi Mungu, kwa kunijalia
afya njema mimi na crew yangu nzima ya WCB,..ambapo
leo mchana kabla
sijaenda mombasa,nimefanya onyesho kwenye maadhimisho
ya family day ya kampuni ya
sigara nchini..TCC,Chang'ombe
kiukweli kabisa nimepata faraja
kiukweli kabisa nimepata faraja
kubwa sana kwanza
kwa umati uliokuwepo pia sapoti ya shangwe
walizonipatia mashabiki wangu,mwanzo hadi mwisho wa show
pasipo kuchoka..nawapenda sana
watu wangu...angalia baadhi ya picha ya
kile tulichokifanya na
mida hii nipo mjini mombasa mda mchache ujao me na
mida hii nipo mjini mombasa mda mchache ujao me na
team nzima ya wasafi ,pamoja na Lekadutigite family
tunaenda kuandika historia mpya kabisa hapa..kaa mkao wa kuhabarishwa...
tunaenda kuandika historia mpya kabisa hapa..kaa mkao wa kuhabarishwa...
Swala zima lilianzia Nyumbani,nikimalizia kujiandaa |
eneo la tukio..Romy Jons,akiweka sawa mitambo yake |
Amsha amsha ikaanza kihivi |
Kazi imeanza |
nawapenda sana watoto..maskin ya Mungu hata hakajui kaanzaanzaje twende sawa na kaka ake |
Ukizungumzia hisia za mbagala..!!! |
picha nyingine zitakuja soon |
Saaaafi Kweli. Long live Diamond.
ReplyDeleteKAzi nzuri kaka
ReplyDeletewcb 4lyf
big up sana braza..... i think u deserve what u hv.
ReplyDeleteGreat! Hope to see you in Nairobi!! The fans are waiting!!
ReplyDeleteyaaaaaaaani unakubalika na watu wengi wanakukubali kabisa wachache ambao hawakukubali nao wanakukubali ndiyo maana wamelike page yako.yaani katika 100% utakuta labda watano tu ndiyo hawakukubali sasa hao watano wanini na wanakupa hasara gani big up Diamond
ReplyDelete