TAARIFA:I REAL LOVE MY PENNY,SINA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WEMA
Tagged with:
Posted by Paul Chazzy 6:00 AM 11
Tagged with:
Penny vumilia hata huko majuu only the strong can survive sababu una mdate public figure usijali. Mungu akupiganie mi nahisi wema kahonga hela wakichafue kwenye media that girl is so stupid
ReplyDeleteNILISEMA TOKA MWANZO DIAMOND ANAPOKUWA NA MPENZI WAKE ANAWEKA WAZI KWA TAIFA ZIMA NA HATA NJE YA NCHI.PENNY MWANAUME ANAWEKA WAZI HASA SWALA ZIMA LA KIMAPENZI NI MUAMINIFU KWAKO JAMANI ,WEWE SI MWANAMKE MPUMBAVU WEWE UNA HEKIMA NA HESHIMA KILA MMOJA ANALITAMBUA HILO,NA JEMBE UNALO NA MPINI UMEUSHIKA WEWE,KELELE ZA TEMBO HAZIMZUII CHURA KUNYWA MAJI.NA MWANAMKE MPUMBAVU HUVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.EPUKA USIJE UKAONEKANA MPUMBAVU,DIAMOND ANAKUPENDA AMEWEKA WAZI VYOMBO VYA HABARI.ANAPORICORD FILAM NI KAZI AMBAYO INAWAINGIZIA PESA UMEONA RAY NA BATURI,JB NA WEMA 14 DAYS,WORPER NA KANUMBA VALENTINE DAYS,HIVYO NI FILAM NA HII FILAM ITALIPA KWA SABABU KILA MMOJA ATANUNUA CD KUJUA DIAMOND NA WEMA WAMEFANYA KITU GANI,KWA KUWAKOMESHA WAMBEYA SIKU NYINGI NA WEWE TOA FILAM NA WEMA MKATE MIDOGO YA WATU.PIGA MZIGO KAKA ACHANA NA KELELE ZA WATU
ReplyDelete
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY
Penny vumilia hata huko majuu only the strong can survive sababu una mdate public figure usijali. Mungu akupiganie mi nahisi wema kahonga hela wakichafue kwenye media that girl is so stupid
ReplyDeleteDo not judge someone by guessing.. was u there while she paid money..? So mind ur business. She doesn't need him ether cus she has more than him soo..!
DeleteHaya bhana mkali wao?
ReplyDeleteWakwache wasingilie suala lako la mapenzi,ni maamuzi yako mwenyewe!
ReplyDeletegud boy
ReplyDelete@Elias, lazima tumuingilie huyo super star, kila afanyacho kinatuhusu fans wake. yupo kwa ajili yetu, tunampenda anatupenda ndio mana yote atendayo anatuwekea hadharani, usisahau hilo kaka, akituona kimya atajua hatumpendi.
ReplyDeleteHapo Penny umefika jamaa akipenda kapenda........wema amna kituuuu
ReplyDelete#gud
ReplyDeleteNILISEMA TOKA MWANZO DIAMOND ANAPOKUWA NA MPENZI WAKE ANAWEKA WAZI KWA TAIFA ZIMA NA HATA NJE YA NCHI.PENNY MWANAUME ANAWEKA WAZI HASA SWALA ZIMA LA KIMAPENZI NI MUAMINIFU KWAKO JAMANI ,WEWE SI MWANAMKE MPUMBAVU WEWE UNA HEKIMA NA HESHIMA KILA MMOJA ANALITAMBUA HILO,NA JEMBE UNALO NA MPINI UMEUSHIKA WEWE,KELELE ZA TEMBO HAZIMZUII CHURA KUNYWA MAJI.NA MWANAMKE MPUMBAVU HUVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.EPUKA USIJE UKAONEKANA MPUMBAVU,DIAMOND ANAKUPENDA AMEWEKA WAZI VYOMBO VYA HABARI.ANAPORICORD FILAM NI KAZI AMBAYO INAWAINGIZIA PESA UMEONA RAY NA BATURI,JB NA WEMA 14 DAYS,WORPER NA KANUMBA VALENTINE DAYS,HIVYO NI FILAM NA HII FILAM ITALIPA KWA SABABU KILA MMOJA ATANUNUA CD KUJUA DIAMOND NA WEMA WAMEFANYA KITU GANI,KWA KUWAKOMESHA WAMBEYA SIKU NYINGI NA WEWE TOA FILAM NA WEMA MKATE MIDOGO YA WATU.PIGA MZIGO KAKA ACHANA NA KELELE ZA WATU
ReplyDelete@MWANAISHA loh shoga nawe haya mh
ReplyDeletewakaaange mpaka waungue mikia, bado sana wawili ni wachache sana kwa mtu kama wewe
ReplyDelete