NUMBER 1 REMIX:SAA 8 USIKU STUDIO WITH TUDD THOMAS,SHEDDY CLEVER NA KING MARU
Ni saa 8 za usiku baada ya kutoka kwa Chali kufanya project ya Cocacola ilinibidi niende kwa producer Tudd thomas akishirikiana na Sheddy...
Nikitoka studio kwa Chali |
Hakuna project inaniumiza kichwa kama hii,nikiwaza niweke nini,nipunguze nini.........!!! |
Tudd kwa nini hii line,isipande kwa hapa mwanzo..?? |
Mzee Maru akifanya vitu vyake |
Kama pumzi hazikuenei..hii kitu huiwezi......!!! |
Tudd |
Sheddy mwenye clever zake |
Ushirikiano ndio nguzo ya chochote kizuri..!!! |
Kuna project ninaifanya mimi na kampuni ya vinywaji baridi, Cocacola.. unataka kujua inahusu na ina manufaa yapi kwako mtu wangu wa kweli..???stay visting |
Huwa ninakiita chumba cha sindano..nikiingia tayari kwa ajili ya kuingiza sauti |
Nimemalizaa......!!!!baada ya hapa naenda location nyingine kufanya kitu kingine..ukilala pesa inalala...!!!! |
Nikiagana na Marco chiz kidogo aka Zachaaaa..pamoja na washikaji |
Ha ha ha...!!kazi ikabaki kwake kuyameza tu......lugha za watu hizi |
Kabla ya kuachana ,tukipanga mikakati ya nini cha kufanya baadae |
moja ya Siraha yangu ya kuaminika kabisa ...Moze wa Iyobo |
Showing them how we do..............!! |
Hapa ni mwendo wa Aipooh!! tu |
Ahsante saaanaaa watu wangu wa Dare salaam kwa sapoti |
Ikafika time ya kuonyeshana umwamba na mtoto wa Manzese |
Anaimba nini huyu.....??? |
Tunawakamataga kwa michgezo ya kuringa ringa kama hiviii......!!! |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY