technology

business

NUMBER 1 REMIX:SAA 8 USIKU STUDIO WITH TUDD THOMAS,SHEDDY CLEVER NA KING MARU

 Ni saa 8 za usiku baada ya kutoka kwa Chali
 kufanya project ya Cocacola
ilinibidi niende kwa producer Tudd thomas
 akishirikiana na Sheddy mwenye Clever zake..
kubwa likiwa ni kuingiza vocal zangu ndani ya
 remix ya number one 

niliyofanya na mnyama wa Naija,Davido ambaye
 yeye alifanya yake.
na ili kuweka njonjo za hapa na
 pale kuhakikisha wimbo
 unakuwa na hadhi inayokidhi mahitaj ya fanswangu
ilibidi nimwite na mzee wangu King Maru,mkari wa kupuliza
 saxaphone ili nae atie mambo yake 
kumbuka mzee Maru alipiga saxaphon yake kwenye number one ya kwanza...
Nikitoka studio kwa Chali

Hakuna project inaniumiza kichwa kama hii,nikiwaza
 niweke nini,nipunguze nini.........!!!

Tudd kwa nini hii line,isipande kwa hapa mwanzo..??

Mzee Maru akifanya vitu vyake


Kama pumzi hazikuenei..hii kitu huiwezi......!!!



Tudd

Sheddy mwenye clever zake

Ushirikiano ndio nguzo ya chochote kizuri..!!!



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

7 comments :

  1. Kwel kabixaaaa ila spat picha hii remix haya waige na hyo 2waone

    ReplyDelete
  2. Unajua vijana wengi sasa hivi wako smart kwa vile wanakuiga ww so ukianza kuvaa nguo boksa inaoneka njenje tu unakua sio smart kabisa na haupendezi kuvaa hivyo so badilisha huo muonekano ambao unataka kuuanza na urudi kama mwanzo. Nakukubali sana na nakupenda kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwel kbs upendez kuvaa ivo tunnaomba uache. #diamond lov u

      Delete
  3. Kweli mti wenye matunda usiogope kupigwa Mawe. Big up Platnumz

    ReplyDelete
  4. yeeah meen.... dondosha kaka, waiting 4 the Video tuone hiyo combination ya SKELEWU na NGOLOLO

    ReplyDelete
  5. hi diamond..mimi ni mmoja kati ya watu wanaoadmire number 1 video..unasauti nzuri lakini nakuadvice fanya mziki wa live dont use cd.,utafanya mziki nchi yeyote my dia na pia utajulikana all over the world kwa sababu utakuwa mwanamziki.Pls fanya hivyo tunakutegemea zaidi wewe.

    ReplyDelete


three columns

grids

health