Mama yangu Bi Sandrah akijikoki sawa sawa tayari kuelekea kwenye futari kwa Mama yangu mkubwa Asha Baraka... |
Mama Asha akiwahudumia wageni wake mara baada ya Adhani kuadhiniwa... |
Ni vyanda tu kwenda mbele stori baadaee..... |
Mjomba Mrisho nae akukosekana all the way from Kigoma huyu ni kaka yake Mama yangu kabisa toka ntoke.... |
Kushoto ni Shangazi Latifa na Mumewe Uncle Mrisho... |
Acha niwajulie hali Kigoma kwanza....... |
Baada ya chakula ni matunda tu chakula kishuke saawia... |
Mzee Muhidini Gurumo akionekana akigonga vyanda katikati na Mmiliki wa Tanzania One Blog.... |
Diana Mama & Mwengi Ally Shem lake walikuwepo pia.... |
tishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaa
ReplyDeletewww.vyetuwenyewe.blogspot.com
Mngenialika jameni eeh.
ReplyDeleteDiamond hata wadau wa blog kwenye mambo mazuri kama tutumie msg nasi angalau mara moja moja sio mbaya,Hongera zake Asha baraka kwa kufutulisha nakutakia kila rakheri katika mwezi mzima wa ramadhani,Umemfurahisha sana mwenyezi Mungu anafurahi sana pale unapofuturu kwa kujumuika na wenzio hata maraika wa mbingu hufurahia tendo hili .Tunakuombea dua kwa mwenyezi Mungu akujaalie na akupe mafanikio makubwa zaidi ya haya,asante sana Diamond kwa kutujuza
ReplyDeleteMAMA dIAMOND PENDEZA SANA NIMEPENDA ULIVYOVAA. BIG UP MAMA NASIB
ReplyDelete