ON TAKE ONE .TAZAMA KIPANDE CHA MOVIE YA HOLLYWOOD ILIYOTUMIA WIMBO WA SAIDA KAROLI,CHAMBUA KAMA KARANGA
Tagged with:
Posted by Paul Chazzy 2:30 AM 3
Tagged with:
Mm niseme tu kwamba kwenye mziki mapinduzi yameanza na mapinduzi n DAIMOND cna shaka itafika mbali, upande wa filam bado mareem Kanumba mungu hailaze roo yake maali pema kama msanii wa maigizo ndoto yangu ni kufanya mapinduzi ili rwende sambamba na muzk nimefanya utafit mkubwa sana kwa wasambazaji na wasanii wenyewe n matatizo mengi yapo upande wa filam nilichokifanya n kwenda kusoma coz ktk chuo cha sanaa TFTC nmemaliza nmeunda kundi nmesajili basata kazi nilio nayo sasa n kutafuta mzamin ili nianze kutoa filam ya kwanza script naandka mwenyewe story natunga na si bajet kubwa kwa maana milion 8 inatosha kulingana na story yenyewe nasota kutafuta pesa lakin naamn mungu atanisaidia, wapenzi wa filim n vjana na wamama wachache kulingana na story zetu uchezaji tumewakosa washabki lakn sasa tutawarudsha kwa filam nzur story nzur tamadun na destur za kitanzania kuzingatiwa tutafka kaka hongera sana.
ReplyDelete
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY
Tz 2nakubalika ila sisi wa Tz ndo a2jikubali
ReplyDeleteGOOD NEWS, BAD NEWS... IS BETTER THAN NO NEWS
ReplyDeleteMm niseme tu kwamba kwenye mziki mapinduzi yameanza na mapinduzi n DAIMOND cna shaka itafika mbali, upande wa filam bado mareem Kanumba mungu hailaze roo yake maali pema kama msanii wa maigizo ndoto yangu ni kufanya mapinduzi ili rwende sambamba na muzk nimefanya utafit mkubwa sana kwa wasambazaji na wasanii wenyewe n matatizo mengi yapo upande wa filam nilichokifanya n kwenda kusoma coz ktk chuo cha sanaa TFTC nmemaliza nmeunda kundi nmesajili basata kazi nilio nayo sasa n kutafuta mzamin ili nianze kutoa filam ya kwanza script naandka mwenyewe story natunga na si bajet kubwa kwa maana milion 8 inatosha kulingana na story yenyewe nasota kutafuta pesa lakin naamn mungu atanisaidia, wapenzi wa filim n vjana na wamama wachache kulingana na story zetu uchezaji tumewakosa washabki lakn sasa tutawarudsha kwa filam nzur story nzur tamadun na destur za kitanzania kuzingatiwa tutafka kaka hongera sana.
ReplyDelete