technology

business

NEWS:STAR WA PRISON BREAK AKIRI KUWA NI SHOGA......!!

Muigizaji huyo (41) ameandika barua hiyo
 kukataa mualiko uliokuwa ukimtaka kuhudhuria 
tamasha hilo linalofanyika nchini kwao Russia
 na kwa mara ya kwanza kupitia barua hiyo 
amejitangaza kuwa yeye ni "Gay" (shoga).
"Asante kwa ukarimu wa mualiko wako, 
nikiwa kama mtu ambaye amefurahia kutembelea
 Russia kwa miaka ya nyuma na naweza 
pia kudai shahada ya asili ya kirusi, ningefurahi
 kusema ndio, hata hivyo nikiwa kama shoga 
lazima nikatae". amesema Miller

Miller akaendelea kusema ... nasumbuliwa 
sana na tabia ya sasa dhidi ya na jinsi
 wanavyochukuliwa mashoga na
 wanawake  na serikali ya Urusi.

"hali hii haikubaliki kabisa, na mimi siwezi kwa
 dhamira nzuri kushiriki katika tukio la 
kusherehekea linaloandaliwa (wenyeji) na nchi
 ambayo watu kama mimi kwa mfumo uliopo 
wananyimwa haki zao za msingi za 
kuishi na kupenda kwa uwazi" 

akamalizia kwa kusema.. kama hali hii
 itarekebishwa, nitakuwa huru kufanya uchaguzi tofauti.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health