King Crayz Gk.......Ukitaja jina ili basi kwa wadau wa muziki nchini lazima watakuambia neno moja tu.........
Nalo ni mwanamapinduzi wa muziki wa kizazi kipya miaka kumi nyuma. Baasda ya kuwa kimya kitambo kirefu kiasi kwamba wadau kuisi ameacha muziki lakini laasha si kweli,King mwenye amerud kwa kishindo na kutambulisha Crew yake nzima ya East Cost kwenye XXL ya Clouds fm siku ya jumatano ya tarehe 28.8.2013. Aidha alifunguka pia sababu za yeye kukaa kimya kirefu hivi na alikuwa na haya ya kusema ''Kwanz akabisa ieleweke muziki upo kwenye damu,pili nilikuwa nasoma,chuo kinabana sana: Nilikuwa natafuta Degree now nimepata nimerudi kufanya muziki na kusaidia chipukizi'' Alisema Gk kwenye ujio wake mpya na harakati za kuirudisha East Cost ya Upanga pamoja....... Je atafanikiwa dhamira yake hii.....?? Tutaweza muona AY & F.A tena pamoja na Brother GK pamoja....? Kila kheri kwa Gk mungu akutangulie kwa kila jambo..... |
No comments :