technology

business

KWA WALA BATA WEKEEND HII AMBASSADORS PANAKUHUSU SANA

Weekend ndo hiyo watu wangu wa kweli
baada ya wikii nzima kuchakarika basi
leo hii ni muda wa kuanza kuondoa
stress na uchovu kwa kudondoka
mjengoni Ambassadors na kuanza weekend
 yako uku ukipata muziki mzuri
toka kwa DJ STEVE B,DJ BULLA &
DJ MASSU kwa kiingilio cha 10,000/=Tsh
tu mlangoni,Ts summer Love kwahiyo aitakuwa
 mbaya ukiambatana na flower wako
kama auna basi jumuika nasi waeza kujikuta
 wa kwako anakusubiri huku,Usikose.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health