Mtu wangu wa kweli,natumahi huu mzima.....Katika
upekuzi wangu siku ya leo nimeamua kukuweka video
clip hii ya show yangu jijini mwanza kwenye Tamasha
la Tigo Min Kabang Promo.Kama ulikosa kuicheki
au ukupata muda basi waeza icheki hapa bure
bila malipo au sio bhana...?? Basi furahi nami muda huu.....
Nakutakia mchana mwema mtu wangu wa kweli.

wewe eeeeeeee ukichezea Diamond utanasa mwenyewe yeye yuko kikazi zaidi na anaendelea kupeta kwa sana amini usiamini watu wanakupenda sana big up
ReplyDelete