technology

business

HII NDIO TWEET YA MEEK MILL KUMUALIKA STAR WA NIGERIA ICE PRINCE KUTUMBUIZA NAE KWENYE TAMASHA NCHINI U.S.A

Ni bahati na milango ya Nehema imeanza kufunguka
 kwa Star toka nchi Nigeria,namzungumiza
Ice Prince,Mshindi wa Tuzo za MTV MAMA Awards
 na BET Best African Act 2013.Tuzo hizi zimefungua
shavu kwa msani huyu baada ya saa kadha
kupita Msanii toka kundi la MMG
Meek Mill kumtumia mualiko Msanii huyu
 kupitia mtandao wake wa Twitter
kuwa atafurahi zaidi kuwa nae kwenye
 jukwaa moja kwenye tamasha la
#DREAMCHASERSUMMIT mwaka huu
 litakalofanyika mwishoni mwa mwezi wa
nane jiji Philadephia....
Hongera kwa Ice Prince kuzidi kufanya
vizuri kwenye muziki wake.....

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health