technology

business

DIAMOND AMFANYIA SUPRISE MZEE GURUMO KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YAKE,AMPA GARI KAMA SHUKRANI YA MCHANGO WAKE KWENYE SANAA YA MUZIKI NCHINI TZ.


Nikikutajia Jina la Muhidini Gurumo
 basi utajua namzungumzia nani.
Nguli wa muziki wa Dansi nchini Tanzania.....
Takribani wiki imepita toka kusikika
kwa habari za kweli kuhusu kustaafu
muziki kwa Mzee Gurumo,binafsi sikuwahi


kukutana nae hadi leo hii nilipokutana nae
kwenye uzinduzi wa Video yangu.
Nilimualika mzee huyu kwa mapenzi yote,niliskia
 juzi pia akisema amekuwa akipendezwa na
style ya muziki wangu na kucheza pia hayo ni moja wapo ya mambo
yaliyonivutia kutaka kumuona mzee huyu.
Nilipitia kwenye mitandao mingi uku ikiandikwa
kusemekana kutokana na kalui ya mzee
Gurumo ameweza kuwa kwenye fani zaidi
ya miaka 50 lakini akuwahi bahatika hata kuwa na Baiskeli....

Jambo ili lilinigusana na kuniumiza moyoni,
kuona nguli kama huyu wa muziki
kunena vile na kuomba msaada,
Binafsi leo usiku nimemtunuku Gari
Mpya mzee Gurumo kwenye uzinduzi wa Video yangu.

Nimeamua kutoa kwa moyo mmoja na
 kwa mapenzi yangu yote kwa mzee wangu.
Tukio ili limetokea tarehe 29.0.2013
nimeamua kukuwekea picha kadhaa
jinsi hali ilivyojri mara tu ya kumalizika
 kwa Launching ilikuwa
suprise kwa mzee wangu Gurumo....
Nikizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa
nikiwa na Mzee Gurumo pembeni...
Mzee Gurumo akionesha Ufunguo juu baada ya kumkabidhi Gari kama
zawadi yangu kwake....
Furaha iliyoje ndani ya Moyo wangu kupewa baraka na Mzee wangu.....
Sauti yake tu.....Iliwafanya wageni wote kuimba nae muda huu....



Tukelekea Nje kwenda kumkabidhi Mzee Gurumo mkoko wake.....


Pembeni Mwangu ndio Gari niliyomchukulia Mzee Gurumo.....






Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

14 comments :

  1. Safi sana DIAMOND kuwa na moyo huohuo kwani ni furaha na ni historia kwenye fani hii ya sanaa ya MUZIKI

    ReplyDelete
  2. Kwa style hii utaendelea kuwa juu tu.....wachache wenye moyo kama wako.

    ReplyDelete
  3. bigup, people will remember your concern
    may Allah bless you with your family

    ReplyDelete
  4. You are a star and you will always be...May God bless you abundantly for such heart to Mzee Gurumo.

    ReplyDelete
  5. Baraka tele kutoka Kwa mwenyezi Mungu zikufikie Diamond.Umetambua mchango wa Ngurumo katika tasinia ya filam.Big up. Na uwe mfano wa kuingwa,Diamond ni heshima tosha ulioinyesha kwa wazazi wako wa muziki.Nakuombea ulipotoa Mungu akaongezeeeeee zaidi ya ulichotoa.Akurinde na akupe maisha marefu .na uwe msaada kwa jamiiiiii.watu wakae wakijua kutoa ni moyo si utajili,Diamond umeonyesha moyo wa upendo.

    ReplyDelete
  6. KEEP IT UP BRO,LET THEM SAY ALL THEY WANT BUT BLESSINGS FROM THE BOTTOM OF THE HEART OF AN ELDER MAN TO YOU LIGHTEN UP YOUR WAY TO YOUR DESTINY,JUST FOR HIM ONLY TO SAY "UBARIKIWE MWANANGU,TU INATOSHA" LOL DIAMOND LOL!

    ReplyDelete
  7. I really love my star Diamond bigup bro roho yako safi kabisa

    ReplyDelete
  8. wewe ni star wa kuigwa, mungu akuzidishie, uzidi kushine dunia nzima amin

    ReplyDelete
  9. WATANZANI TUSIWE NA ILE TABIA YA KUSAIDIANA WAKATI WA KUFA, TUENESHE UPENDO WAKATI BADO TUKO HAI..... SIO M2 ANAPOKUFA THEN UNAMSAIDIA ... KIMSINGI HII HAIMSAIDII KUBWA WATANUFAIKA WALE WANA KAMATI YA MAZISHI

    BE BLESSED

    ReplyDelete
  10. Dai dai daimond kwasasa umenishawishi kusema wewe ndo star tz kwa maana mambo unayoyafanya n balaaa kula bata ndugu msoto n hatari, mm n msanii maigizo ninakundi langu nasota kutafuta pesa kwa kukopeshwa ili ntengeneze filamu yangu ya kwanza nakula msoto nazunguka miguu inauma cjakata tamaa naamin mwisho wa msoto ndo mwanzo wa bata hongera sana mwanzoni nlikuwa ckukubali sana kwa vigezo vyangu ila sasa nakukubali kwa maana una ndoto za kimataifa na unapigana kuzitimza nakukubali sana, kaka location za video yako mpya n nmoma kaka kula bata mm naburuza mguu cku moja tukutane vzr.

    ReplyDelete


three columns

grids

health