technology

business

RAIS BARACK OBAMA ALIVYOWASILI TANZANIA....ANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA

Rais wa Marekani Barack Obama akitokeza kwenye ndege
 aina ya AIR FORCE ONE maalum kabisa kwaajili
ya kubeba Rais wa Marekani akiwa na Familia nzima kiujumla...!!
Hapa akiwa amewasili kwenye ardhi ya Tanzania maalum kabisa
kwa ziara ya kitaifa ya siku 2 nchini humu....
Ndege ya Rais wa Marekani ikiwa Imepaki kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere majira ya saa 8 mchana..!
Rais Barack Obama Akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho
Kikwete baada ya kushuka kutoka kwenye Ndege....
Rais Barack Obama akikagua Jeshi la wanachi JWTZ

Rais Barack Obama akiagana na Mke wa Rais wa
 Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Salma Kikwete....!!
Msafara wa Viongozi wa Juu ukiondoka uwanja wa
 Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere Kuelekea
Ikulu....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health