technology

business

JIM KELLY AFARIKI DUNIA:MUIGIZAJI WA FILAMU YA ENTER THE DRAGON

Muigizaji Nguli kutoka Hollywood Jim Kelly amefariki Dunia usiku wa Jana.....
Habari kamili kutoka kwa mkewe zinasema kuwa,Jim
alifariki nyumbani kwake,
San Diego
 alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa pamoja na figo.....

Jim Amefareiki Dunia akiwa na Umri wa Miaka 67,Jim aliyecheza
 filamu iliyompa umaarufu na Marehemu
Bruce Lee kwenye miaka ya 1970.....
Jim alianza kucheza Michezo ya karate hata kabla ajaanza
filamu na kutokana kuwa na uzoefu
na michezo hiyo ndio maana waongozaji wengi kwenye filamu
 walikuwa wakimchezesha kwenye
filamu kama hizo moja wapo ya 'ENTER THE DRAGON na

Nyinginezo nyingi....

Mungu ailaze roho ya marehemu Jim Kelly
mahala pema peponi,Ameen...!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health