2 Chainz akiwakilisha....!! |
Radio n Weasel toka Uganda....kwa upande wao awa ndio wasanii waliowakilisha EAST AFRICA NA AFRICA Nzima kwa ujumla kwenye tuzo hizo za B.E.T AWARD 2013... |
Big Sean na Mpenzi wake Simple but Unique...!! |
Brandy...!! |
Chris Tucker...!! |
Dwayne Wade na Mpenzi wake..! |
Eve....!! |
Jammie Fox...!! |
Kevin Hart na Mpenzi wake...!! |
Master P & T.I Black on Black Tisheer sana wazeeee...!! |
Nelly.....Tokelezea Huh........ |
Snopp Lion na Familia yake nao walitia fola kwenye Zulia jekundu la Tuzo hizo za Kituo cha Luninga B.E.T |
Wiz Khalfa na Bebi Mama Amber Rose....!! |
No comments :