Rais Kikwete akisalimiana na Vikundi Maalumu vya upokeaji wa ujio huo wa Rais Obama nchini Tanzania...!! |
Rais kikwete akiwa Nje ya Ikulu ya Tanzania akiangalia Mandhari sambamba na Ulinzi Mkali....!! |
Rais Kikwete akiangalia Kibao kinachotoa Maelekezo ya Njia hiyo Mpya ya Barack Obama Drive... |
Jengo la Ikulu ya Tanzania likiwa limenawili na Bendera za Taifa la Tanzania na Marekani... |
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Ndugu Bernad Membe akisoma Ratiba ndani ya Ikulu ya Tanzania...! |
Vikundi vilivyo Nje ya Ikulu ya Tanzania wakishangilia baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasalimu akielekea Airport kumpokea Mgeni wake anaewasili alasiri ya leo...! |
tunashukuru kwa taarifa hiiiii nasubiri atakapokuwa anaingia asante sana Diamond yaani tunapata habari utafikiri na sisi tulimpokea live .mimi lazima kila siku nifungue glob yako uko makini sana kwa kutuletea up date
ReplyDeletegood day
ReplyDelete