Leo hii ukizungumzia King Of Pop Duniani utatajiwa Mtu mmoja tu, the one & only great Michael Jackson aliezaliwa tarehe 29.8.1958 nchini Marekani..... Michael Jackson amekumbwa na mikasa Mingi na mafanikio tele lakini hapa sipo kukujuza hayo leo nakujuza kuhusiana na tamasha ambalo alikuwa alifanye kama tamasha lake la mwisho kimuziki kwenye maisha yake ya muziki kiujumla.... Show hiyo ilipewa jina la THIS IS IT.....Mara ya mwisho Marehemu Michael Jackson alizungumza 02 Arena na kuwatangazia mashabiki zake kuwa amewaandali show hiyo kama kuwaaga, lakini show hiyo aikuweza kufanyika kutokana na kifo chake kutokea wikii 3 kuelekea kwenye tamasha ilo..... Kwa mujibu wa Forbes hadi sasa Ni marehemu huyo huyo hadi leo anashikiria rekodi ya kujaza sana kwenye show zake kupitiliza kama Show ya Thriller mwaka 1995 iliyofanyika nchini Marekani zaidi ya watu milion 3 walifika kushudia na zaidi ya watu mil 1 waliingia kimagumashi na ilitazamwa Live kupitia mtandao na watu zaidi ya bilioni 3 dunia kote......
Lakini hii ya THIS IS IT ilitegemewa kuingiza zaidi ya watu milioni 5 na vituo vya televisheni 182 duniani kote vilinunua haki miliki ya kuonesha Show hiyo Live kabisa na ilitegemewa kuonekana kwenye mtandao zaidi ya watu bilioni 7 kutokana na uchunguzi wa Forbes.....
Ila ndio alipangalo Mungu Binadamu uwezi kulizuia wala kulijua akuweza kufika siku hiyo mfalme huyo wa Pop Dunia aliefariki dunia 25.6.2009 nchini marekani....
Hii inawapa changamoto wanamuziki kuzidi kufanya vizuri kuweza kufikia malengo na mafanikio kama ya mfalme huyo wa Pop duniani....
R.I.P MICHAEL JACKSON |
No comments :