Habari za mchana Mabibi na mabwana.........kiujumla napenda kumshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema.....!! Tangu nilipotoka na mpaka nilipofika na napoelekea..!! Upendo wake kwangu na Baraka zake kwangu ndio wingi wa mafanikio yangu...!! Sio kama mimi ni mwema sana machoni kwake lakini ni Dua na Salaa pekee juu yake...!! Napenda kumshukuru mama yagu kipenzi Bi Sandrah Kwa malezi yake na upendo wake wa dhati kwangu kwa kunitunza toka mtoto kunilea na hadi leo nikiwa chini ya uangalizi wake japokuwa ni mtu mzima mwenye akili zake.....lakini kuna msemo unasema mtoto kwa mama akuhi....Napenda kuwashukuru nddugu jamaa na familia nzima kwa dua zao kwangu.. Kiujumla kabisa napenda kuwashukuru mashabiki zangu wote maana akuna Nyota Bila shabiki......Nawapenda sana sina cha kuwapa mmoja mmoja lakini mtegeme vitu vizuri kuanzia sasa......... Nimekuwa kwenye mziunguko mingi ya kzi zanu kama msanii....Nimekuwa na show Ulaya pamoja na africa ndani ya mwezi huu zilizonifanya nikawa busy sana kutokuwa karibu na mashabiki zangu....kuwafikishia updats zangu na hali yangu kimuziku kwa ujumla.. Lakini kwa sasa nipo nchini nimerudi kutuliza akili baada ya mishe mishe mkono uende kinywani hata mwenyezi mungu kwenye maandiko amesema asiyefanya kazi na asile...!!
Kupitia Blog yako hii ya Kijanja utapa live updates zangu na za Burudani zaidi...... Kutoka kwa wasani mbalimbali barani africa na Duniani kote Mabadiliko ya kinyama zaidi....na kiuhakika zaidi. na Pia Unaweza kupata Updates zangu kupitia my Facebook Account By Diamond Platnumz, Au kupitia Fan Page Yangu By Diamond Platumz or u Can Follow Me On Instangram By Diamond Platnumz and Follow me On Twitter @DiamondPlatnumz
ASANTENI SANA......!!! |
No comments :