technology

business

KIJANA AKUTWA AKILA NYASI KAMA NG'OMBE NCHINI KENYA....

Katika kesi ya ajabu,mwanaume mmoja asababisha vurugu
na mkusanyiko wa watu wengi katika miji wa Karatia
kata ya Nyeri baada ya kukutwa akila majani kama ng'ombe
 na kudaiwa kuwa amepigwa juju baada ya kuiba
mifugo aina ya mbuzi.

kijana huyo alikutwa akitafuna majani huku mdomo
ukiwa umejaa,  na kudaiwa kuanza kutafuna majani kwa takribani
siku tatu sasa, akiongea na KTN mtu wakaribu na kijana
huyo alisema hafahamu nini kimemtokea kijana huyo lakini
 anasema kijana huyo alisema alijikuta tu anakula
majani baada ya kuamka kutoka usingizini.

kutokana na wakazi wa pale wamesema kuwa,
alilaaniwa kila ambae alihusika katika wizi wa
mbuzi, na kijana huyo anashukiwa kuwa ni mmoja wa wezi hao

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health