Tarehe 29 mwezi wa 5 itakuwa ni tarehe isiyosahaulika
kwa mtangazaji nguri wa kipindi cha PLANET BONGO ya EATV
bwana Abdallah Ambua au almaaruf kama Dullah Planet baada ya mke
wake kipenzi Amina Kagambo kufanikiwa kujifungua salama mtoto wao wa kwanza
katika Hospitali ya Mikumi mnamo wa Majira ya saa tatu na nusu usiku huu...
Mtoto huyo ni wa kike wamemtunuku jina la Tamirah
this is diamond inawapongeza na inawatakia
wanandoa hawa Upendo na mafanikio mema katika kumlea na
kumkuza binti yao kipenzi....
Mungu amsaidie binti akue zaidi
ReplyDelete