HII NI PICHA AMBAYO NIMETUMIWA ASUBUHI YA LEO KWENYE MTANDAO NA JAMAA YANGU WA KARIBU AISHIE SOUTH AFRICA KWA MUDAA.... NILIPO DOWNLOAD KUIONA SIKUAMINI MACHO YANGU.... ILIKUWA ASUBUHI NJEMA KWANGU.....KUAMKA NA TABASAMU KUBWA KINYWANI MWANGU NA KUJIHISI WA KIPEKEE SANA...!!
HII PICHA IMECHORWA NA MCHORAJI KUTOKA SOUTH AFRICA NA IPO HUKO IKITUMIKA KAMA BANGO LA UCHORAJI.....NAFURAHI NIKIONA MASHABIKI ZANGU WAKINITHAMINI NA KUFANYIWA KITU AMBACHO WAEZA SEMA NI KIDOGO LAKINI KUTOKA MOYONI MWANGU NI KIKUBWA...
NI LOVE ILIYOPELEKA KUFANYA HIVI.......NA NIKAONA HAITAKUWA VIBAYA NIKISHARE JAMBO ILI NA MY FANS ALL OVER THE WORLD KUPITIA MTANDAO WANGU ILI KUWAJUZA FURAHA YANGU YA LEO.....NI HAYO TU NAPENDA KUWATAKIA SIKU NJEMA......!! |
No comments :